Burudani

Justin Bieber matatani kwa kudaiwa kukopi vionjo kwenye wimbo wake Sorry

Justin Bieber anashtakiwa na mwanamuziki anayedai kuwa wimbo wake Sorry umekopi moja ya nyimbo zake.

rs_634x846-160210112459-634.Justin-Bieber-FB-021016

Muimbaji huyo, White Hinterland anaamini kuwa Justin, na producer wa wimbo huo, Skrillex, walikopi vionjo kwenye wimbo wake Ring The Bell na kutumia kutengeneza hit hiyo ya mwaka jana.

Hinterland ambaye jina lake halisi ni Casey Daniel anataka alipwe fidia.

“The writers, producers, and performers of Sorry did not obtain a license for this exploitation of my work, nor did they obtain or seek my permission,” Casey aliandika kwenye Facebook.

“Like most artists that sample music, Bieber could have licensed my song for use in Sorry. But he chose not to contact me.”

Casey anadai kuwa alijaribu kuwasiliana na Justin Bieber na timu yake chini kwa chini kabla ya kuchukua hatua za kisheria.

“After the release of Sorry, my lawyers sent Bieber a letter regarding the infringement, but Bieber’s team again chose to ignore me,” aliongeza I offered Bieber’s team an opportunity to have a private dialogue about the infringement but they refused to even acknowledge my claim, despite the obviousness of the sample. Justin Bieber is the world’s biggest artist, and I’m sure that he and his team will launch a full attack against me.”

Mashabiki wa Justin wameshaanza kumtukana mwanamuziki huyo.

“Sorry you have no talent, but don’t bring others down because they have what you want but you have zero ability to achieve,” aliandika Taryn Quinn.

“You really think Justin Bieber and Skrillex would rip you off?”
Anasema Alec Burriss. “They’ve never even heard of you, don’t worry. There’s only so many pop melodies you can write, get over yourself.”

Zisikilize nyimbo hizo hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents