Burudani

Jumba la Big Brother Africa lateketea kwa moto, uzinduzi wa msimu mpya waahirishwa

Moto mkubwa umezuka kwenye jumba la Big Brother Africa Hotshots katika studio za Sasani jijini Johannesburg, Afrika Kusini na hivyo kuahirishwa kwa kuanza msimu mpya uliokuwa uzinduliwe Jumapili hii, September 7.

301780254_465667
Jumba la Big Brother likitekea kwa moto

Hakuna aliyeumia kutokana na moto huo uliotokea kwenye studio hizo zilizopo Highlands North jijini Johannesburg Jumannne hii. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Kampuni ya Endemol South Africa na M-Net hawana jinsi zaidi ya kuahirisha show hiyo kwa sasa.

Pamoja na tukio la moto, msimu mpya wa show hiyo imekubwa na vikwazo vingi ikiwa ni pamoja na nchi tatu, Ghana, Rwanda na Sierra Leone kuondolewa kwenye msimu huo kutokana na masuala ya visa.

Kwenye maelezo yake yaliyowekwa kwenye website yake, waandaji wa BBA wameandika:

M-Net and Endemol SA advise that due to a devastating fire at the Big Brother house on 2 September 2014, Big Brother Hotshots will not launch this Sunday (7 September) as scheduled.

The cause of the fire, at this stage, is unknown and investigations will commence as soon as it is safe to do so.

At this stage M-Net and Endemol are urgently looking for an alternative Big Brother house in which to film the production, however as this production has highly technical infrastructure, camera and edit requirements an alternative is not immediately available. Every effort will be made to find a solution as quickly as possible to ensure that Africa’s biggest reality show will continue.

Where is the BBA house?
It is based at the Sasani Studios in Johannesburg

Was anyone injured in the fire?

No one was injured during the fire.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents