BurudaniLady Jay Dee

Judy Akitumbuiza Mzalendo Pub

Machzo_Bandi_wakitumbuiza

Mwanamuziki Judith Wambura  ‘Lady Jay Dee’ akitumbuiza siku ya ijumaa katika ukumbi wa Mzalendo Pub. hii anafanya kila ijumaa akiwa na Machozi bendi lakini siku nyingine huwa Machozi inapanda jukwaani hata bila ya kiongozi huyo wa Bendi.

Hii inatokana na mwanamuziki huyo kuwa na shughuli nyingi kwa sasa , hivyo anahitaji muda mwingi kwaajiri ya kuzifanya shughuli hizo ikiwa pamoja na kuandaa albamu yake nyingine

Judith

Jay Dee akitumbuiza kwa kucheza, katika usiku wa ijumaa pale Mzalendo Pub

Judith_Wambura_akitumbuiza_pembeni_akiwa_Mau_Santiago

Jay Dee akiwa na Mau Saniago wakitumbuiza usiku pale Mzalendo Pub siku ya Ijumaa.

Bwla_na_Calorine

Carolina na Bella wakiweka pozi kidogo, kufuatana na muziki, katika usiku wa Machozi pale Mzalendo Pub.

Caroline

Carolina na Bella wakiimba kwa hisia na kunyoosha ishara za mikono

Mau_Saniago

Mau Santiago akiwa na mwimbaji mwenzake wakitumbuiza kwa kucheza katika bendi ya Mchozi.

{hwdvideoshare}id=1481|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1482|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1483|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1484|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1485|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1486|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1487|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1488|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1489|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents