Burudani

Jordin Sparks amdis ex-mchumba wake Jason Derulo kwenye wimbo mpya ‘How Bout Now’ remix

Jordin Sparks ametoa wimbo mpya ambao ndani yake amemzungumzia aliyekuwa mchumba wake Jason Derulo ambaye waliachana September mwaka huu baada ya kudumu kwa miaka mitatu.

jason-and-jordin-sparks

Haya ni baadhi ya mashairi ya wimbo huo yanayozungumzia uhusiano wao:

“Remember I deleted all my other guys’ numbers out my phone for ya? / Remember when you broke your neck and I had to wash your back for ya?”

Jason aliwahi kuumia shingo mwaka 2012 alipokuwa kwenye mazoezi ya kucheza.

“You thought you had it all figured out back then, boy how bout now? ‘Cuz I’m up right now, and you suck right now”

“Always been mom’s little angel / but once you blew up head got big and you started changing / Can’t believe all the things you started saying / Like I’m with you for your fame and your name, what?”

“Feeling like I have to get all of this off my chest / I know you are sitting there thinking ‘What is she going to do next?”

Wimbo huu ni remix ya wimbo wa Drake uitwao ‘How About Now’. Utakuwepo kwenye mixtape ya Sparks Bye Felicia’ inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents