Burudani

Jokate Mwegelo na Denrele kuja na show mpya Channel O

Mrembo Jokate Mwegelo aka Kidoti, anatarajia kuonekana kwenye show mpya ya Channel O akihost pamoja na Denrele wa Nigeria.

5ae820d0ba1e11e2a4fb22000a1f97ec_7

36fbbc14bbad11e2890a22000a1fbc9a_7

Kwa sasa Jokate na Denrele wapo jijini Johannesburg, Afrika Kusini, kushoot show hiyo itakayoanza kuruka June 15.

Denrele anajulikana zaidi kwa kuwa rafiki mkubwa wa marehemu Goldie. Akizungumzia kufanya show moja na Denrele, Jokate amesema, “Denrele chizi kama mimi, sema yeye zaidi kidogo so chemistry inakuwa poa tu, high energy on set.”

744412debba711e2982122000a1f8c32_7

3599141abba911e2bbe722000a9f1253_7

6007080cbba811e2999722000a1fcf03_7

d29d5e2abba811e296f222000a9f4dd8_7

f5af4c7aba4011e2b3da22000aa804fa_7

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents