Burudani

Jokate Mwegelo amzungumzia Lupita Nyong’o na aliyojifunza toka kwake, ‘she is daring and not afraid of color’

Lupita Nyong’o amekuwa Mkenya wa kwanza kuwahi kushinda tuzo ya Oscar baada ya leo kunyakua tuzo ya muigizaji bora msaidizi wa kike. Ushindi huo umepokelewa kwa shangwe na sio Wakenya peke yake, bali Afrika nzima. Jokate Mwegelo amesema Lupita Nyong’o ni muigizaji wa aina yake anayetoa funzo kwa wasichana wengi wa Afrika kutokataa tamaa, kujituma na kujivunia ngozi yao.

hhh

Akiongea na Bongo5, Jokate alisema uwezo wa Lupita Nyong’o kwenye 12 Years A Slave ni wa kutukuka na ndio maana hata waigizaji wengi wakubwa wamemkubali. “Alishine kwenye movie hiyo, yaani her role, her character shone among the rest, without a doubt her acting was perfection,” amesema Jokate.

Lupita+Nyong+o+86th+Annual+Academy+Awards+06nQ0wGEAoSl
Lupita akipokea tuzo ya Oscar

“There is one thing wananchi kukupenda, and there is another thing watu ambao wanajua the craft, wanaojua ugumu wa ile kazi, ubora, good actor/actress, kukuappreciate. So far she has that kind of support like her peers appreciate her. Napenda anavyotumia ngozi yake. Her skin is very nice. At the same time she is very daring. Nimeona vitu amevaa kama Victoria Beckham, Victoria Bechkam pia akampost kwamba she was wearing one of her clothes and she is not afraid of color and I really love that about her.”

Lupita+Nyong+o+86th+Annual+Academy+Awards+3-y-_ABUK45l

Jokate amesema alichojifunza kutoka kwa Lupita ni weledi (professionalism), mafunzo na kutokataa tamaa.

“Lupita amepitia training mbalimbali, it makes you understand your craft,” amesema Jokate.”Na vilevile kutokata tamaa. She is 30 years old, her first role, her first Oscars nomination wakati kuna watu wengi wanafanya movie nyingi lakini hawafikii hiyo level aliyofikia yeye. Hakuna kukata tamaa, always think positive, penda kujifunza.”

Msikilize zaidi hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents