Burudani

Jokate: Kuna mtu namtamani sana, asema alichokiimba kwenye ‘Leo leo’ kina uhalisia

Mwanamitindo, mbunifu na Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006, Jokate Mwegelo aka ‘Kidoti’ amesema kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi.

10838362_428098344007546_1990936077_n

Akizungumza na The playlist ya Times Fm hivi karibuni, Kidoti alisema hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye wimbo wake uitwao ‘Leo leo’ aliyomshirikisha Ice Prince wa Nigeria.

“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema Jojo

Hata hivyo Jokate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemtamani.

Source:Times Fm

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents