Burudani

John Legend asema reality show inaweza kuhatarisha uhusiano wa Kanye na Kim

John Legend ameonya kuwa reality show inaweza kuwa hatari kwa uhusiano wa rafiki Kanye West na Kim Kardashian.
Kanye-West-and-John-Legend-3248899

Muimbaji huyo amekataa kushiriki kwenye show kama ya Keeping Up With the Kardashians na mke wake Chrissy Teigan kwakuwa anaamini si salama kwao.

“Sijui Kanye anachofanya kwenye show hiyo. Mpaka sasa ameonekana kidogo lakini haijawa kuhusu uhusiano wao sana. Ni ngumu sana kufanya hivyo kwenye runinga nadhani ni hatari kwa uhusiano,” alisema Legend.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents