Burudani

Joh Makini ndani ya Billz

 

Kama ilivyo ada, Kila Jumapili pale Club Bilicanas, wasanii hupata nafasi ya kuingia jukwaani na kukonga nyoyo za mafans,

Bongo 5 ilikuwa sambamba na Joh Makini jana alipokuwa anakamua hapo bilz na kupandisha mizuka ya mashabiki kupitia nyimbo zake kama ‘Stimu Zimelipiwa’.

Joh Makini akibless crowd.

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents