Burudani

Je! Linah na Amini kuja na surprise gani Jumapili hii?

Wasanii wa THT Linah na Amini wanategemewa kufanya show Jumapili hii katika Club ya usiku New Maisha club ambayo imepewa jina la “ Usiku wa Mtima wange” ambapo watasindikizwa na wasanii Abdu Kiba na Ally Nipishe.

Amini na Linah

Katika show hiyo msanii Linah anategemewa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika usiku huo ambapo yeye na Amini wameitonya Bongo5 kuwa wanatarajia kufanya surprise ambayo itajulikana siku hiyo hiyo ya show.

Kama utakumbuka katika siku ya kuzaliwa ya Amini mwaka jana wasanii hao wawili walifanya wimbo wa pamoja ambao ulikuwa kama surprise uliopewa jina la Mtima Wange, Je wakati huu wa siku ya kuzaliwa ya Linah kutafanyika surprise gani?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents