Burudani

Jcb na Diana wampata Makala Jr

jcb_wife

Mwanamuziki kutoka pande za Arusha Jacob Makala ‘Jcb’ mzee wa ukisikia Paa, jana amepata mtoto wake wa kwanza na mwanamke wa Kizungu Diana, ambaye mapenzi yao yamedumu kwa muda miaka mingi. mtoto huyo ambaye wamempa jina la Makala au Albert Jacob Makala.

 


JCB_mtoto

Mkala Jacob Makala ‘Makala Jr’

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents