Habari

Jay Z na Beyonce washoot video ya ‘On The Run’ kimya kimya

Beyonce ameshare picha mpya akiwa na mumewe Jay Z inayoashiria kitu kikubwa kijacho kutoka kwa wanandoa hao.

screen-shot-2014-04-19-at-8-23-15-am

Wakati ambapo wawili hao wanadaiwa kujiandaa na tour yao ya pamoja, Ijumaa hii walionekana location wakishoot video yao kwa siri.

Picha hiyo inawaonesha wakiwa kwenye pikipiki na Beyonce akiwa na nguo za harusi. Japo video shoot hiyo inaweza kuwa ya kitu kingine, muonekano wake unaashiria kuwa video ya wimbo wa Jay Z, uliopo kwenye album yake, Magna Carter Holy Grail, “On The Run (Part II).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents