Burudani

Jay Z na Beyonce wakumbushia viapo vyao vya ndoa

Beyoncé na Jay Z wameamua kuzizika kabisa tetesi za kuwa ndoa yao imekufa kwa kukumbushia viapo vyao vya ndoa.. ama kwa lugha rahisi kufunga ndoa tena.

1413128016021_wps_52_Beyonc_Knowles_and_Jay_Z_

Kwa mujibu wa jarida la People, mastaa hao waliosherehekea miaka sita ya ndoa yao mwezi April, hivi karibuni walifunga ndoa tena.

“Walikuwa na matatizo makubwa,” chanzo kimoja kimeliambia jarida hilo.. “Lakini walimaliza na kuamua kufunga ndoa tena.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents