Burudani

Jay Z na Beyonce kuja na album ya pamoja

Jay Z na Beyonce wameanza kurekodi album ya pamoja, kwa mujibu DJ Skee. DJ huyo amedai kuthibitisha suala hilo kutoka kwa chanzo zaidi ya kimoja.

Beyonce na Jay Z..Grammy_full

“Couple kubwa kwenye muziki, pengine kwenye burudani, pengine duniani, wanatengeneza album ya pamoja,” alisema.

“You know who I’m talking about, Jay Z and Beyonce . I have confirmed and talked with a couple sources. Now we all know what Jay Z did Samsung last year. We all know how Beyonce came out of nowhere. But this secret would top all of them, even that new U2 album,” alisema.

Habari hiyo imekuja wakati ambapo ziara yao imemalizika Jumamosi iliyopita jijini Paris na kuingiza zaidi ya dola milioni 100.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents