Burudani

Jay-Z kununua kisiwa Bahamas kwaajili ya familia

Ukiwa na utajiri wa zaidi ya dola milioni 400, si kitu cha kufikiria mara mbili kununua kisiwa kwa dola milioni 3 huko Bahamas.

bahamas_beach_1920x1440

Jay-Z ananunua kisiwa chake mwenyewe huko North Abaco ili mkewe BEYONCE na mwanae BLUE IVY wawe na mapumziko bila karaha.

Chanzo kimoja kimoja kimeliambia gazeti la The Sun kuwa anataka kuwa na kisiwa kama cha Necker cha bilionea wa ingereza Richard Branson.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents