Burudani

Jay Z kununua kampuni ya kustream muziki ‘Aspiro’ ya Sweden kwa dola milioni 56

Jay Z amepanga kuinunua Aspiro – kampuni ya Sweden inayostream muziki kwa malipo ya mwezi kama inavyofanya Spotify.

jay-z-1024

Manunuzi hayo ni kupitia Project Panther Bidco, inayomilikiwa na kampuni ya Jay Z iitwayo S. Carter Enterprises.

Dili hiyo bado haijakamilika lakini baada ya kuinunua, Jay Z anataka kuipanua zaidi kutoka nchi za Scandanavia hadi kuwa kampuni ya dunia nzima.

Wengi wanadhani kuwa lengo la kuinunua kampuni hiyo ni kuwa mshindani wa Spotify.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents