Burudani

Jay Z, Kanye West na Frank Ocean washtakiwa kwa kusample wimbo ‘Made In America’

Jay Z, Kanye West na Frank Ocean wanashtakiwa na mwanamuziki aitwaye Joel McDonald.

image

McDonald anadai kuwa wasanii hao walitumia wimbo wake ‘Made In America’ wakati wakitengeneza wimbo wao wenye jina hilo hilo uliopo kwenye album ‘Watch The Throne’. 

Muimbaji huyo wa New York anadai alipwe dola milioni 3 kwa matumizi hayo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents