Burudani

Jay Sean ajiondoa Cash Money Records

Jay Sean ametangaza kujiondoa kwenye label ya Cash Money Records.

Neon (Jay Sean Album) Lyrics
Hata hivyo, Sean amesema hana tatizo na timu ya Cash Money. “Bado nina uhusiano mzuri na Slim na Baby [CEOs wa Cash Money],” ameuambia mtandao wa Billboard.

“Waliamini katika kipaji changu na ushirikiano wetu ulileta mafanikio makubwa,” alisema.

Hata hivyo msanii huyo alidai kuwa alitaka kupata kitu kingine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents