Burudani

Jay Moe amtaja Solo Thang kama mwalimu wake wa rap ya Kiswahili

Jay Moe amemtaja Solo Thang kama rapper muhimu kwenye career yake.

Jay_Mchopnga

Amedai kuwa rapper huyo ndiye aliyemsaidia kuweza kuandika mashairi ya rap ya Kiswahili.

“Solo Thang ni mtu ambaye nilikuwa naye karibu sana. Kipindi kile alikuwa ananisaidia sana kwenye uandishi wa kiswahili,” alisema.

“Unajua wakati ule tulikuwa tumejiunga kuwa Wateule wengine tulikuwa tunaenda tunashinda pale tulikuwa tunarap sana Kiingereza. Solo yeye alikuwa mtaalam sana wa Kiswahili ndio akawa ananielekeza.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents