Burudani

Jamala wa Ukraine ashinda shindano la Eurovision

Muimbaji wa Ukraine, Jamala ameshinda shindano la mwaka huu la Eurovision Song Contest, lililofanyika jijini Stockholm, Sweden.

_89695103_89695041

Nchi hiyo ilipata pointi 534 na wimbo wake 1944.

Australia ilishika nafasi ya pili kwa kukusanya pointi 511 huku Urusi ambayo ilionekana kupendwa na wengi kwenye shindano hilo ikikamata nafasi ya tatu kwa pointi 491.

a-JAMALA-EUROVISION-2016-UKRAINE-640x468

Hata hivyo wimbo wa Jamala umesababisha mjadala mkubwa kutokana na kuwa wa kisiasa.

Ulikuwa na unahusu jinsi Josef Stalin alivyowafukuza watu wa kabila la Tatar kutoka kwenye jimbo lake la Crimea enzi za Soviet Union.

Wimbo huo umewakasirisha Warusi walioichukua Crimea kutoka Urusi mwaka 2014, na kusababisha kuwepo uhusiano mbaya kati ya nchi hizo mbili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents