Burudani

Jackie Chain asema mwanae aliyekamatwa na dawa za kulevya China amemuaibisha sana

Kama mzazi, mwanao anapojihusisha katika kitendo cha aibu ni lazima hata wewe mwenyewe utajiskia aibu, ndivyo anavyojiskia muigizaji wa filamu za Hollywood, Jackie Chan baada ya mtoto wake wa kiume kukamatwa na dawa za kulevya.

Chain
Baba na mwana

Jacky Chan amesema mwanae aitwaye Jaycee amemuaibisha sana yeye na familia nzima hasa mama yake, baada ya kukamatwa na dawa za kulevya nchini China.

Lakini Chain kama mzazi amemuahidi mwanae kuwa atakuwa nae bega kwa bega licha ya kosa alilolifanya. Pia kwa niaba ya Jaycee, ameiomba radhi jamii kwa kitendo kilichofanywa na mtoto mtoto wake ambacho hakileti picha nzuri kwa jamii.

Hii ndio barua aliyoiandika Jackie Chain na kuipost kwenye website yake, baada ya taarifa za kukamatwa kwa mtoto:

“When I first heard the news, I was absolutely enraged”.

“As a public figure, I feel very ashamed; as his dad, I’m very sad and disappointed. But the person who feels heartbroken the most is his mom.”

“I hope our younger generation will learn from Jaycee’s mistake and stay far away from drug abuse.”

“I would like to take this opportunity and say to Jaycee: you’ve done something wrong and you have to be responsible for the consequences. I’m your dad and I’ll always be with you. We will face the road ahead of us together.”

“I should also take some of this responsibility because as his dad, I didn’t teach him well.”

“Therefore, on behalf of Jaycee and myself, I extend our deepest apologies to everyone for the negative impact this has caused on society. Thank you.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents