Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Izzo Bizness aeleza kinachokwamisha collabo ya The Amazing na Ycee

By  | 

Mwaka jana mkali kutoka Nigeria,Ycee alidondoka Bongo na kufanya ziara kwenye media mbalimbali kwa lengo la kutangaza muziki wake na kukutana na baadhi ya wabongo Fleva.

Miongoni mwa vitu alivyovifanya akiwa nchini, ni kolabo ambayo aliifanya na kundi la The Amazing, taarifa ambayo ilithibitishwa na Izzo Bizness.

Ni muda sasa umepita na hakuna taarifa yoyote juu ya collabo hiyo.

Kupitia kipindi cha Supermega cha Kings Fm,Izzo ameweka wazi sababu za kuchelewa kwa ngoma hiyo. Izzo Amedai kuwa target yao ilikuwa ni kutoa video pamoja na audio, lakini wamepata ugumu kumpata Ycee ili kushoot video,suala ambalo limefanya washindwe kutoa ngoma hiyo mapema.

Pia amedai hawawezi kutoa audio pekee kwani sio lengo lao.

Prince Ramalove
Kings Fm

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW