Habari

Iyanya awashauri Davido na Wizkid, ni kuhusu beef yao!

Mwimbaji aliyeshirikishwa na Diamond Platnumz katika single mpya ‘Bum bum’, Iyanya wa Nigeria ni miongoni mwa watu wanaotamani kuwaona Davido na Wizkid wanamaliza beef yao au hata wakifanya kazi pamoja.

page

Baada ya Davido na Wizkid kurushiana vijembe kupitia twitter hivi karibuni bila kutajana majina, wakitambiana kuhusu idadi ya watu wanaoingia kwenye show zao, Iyanya nae ametumia mtandao wa Intagram kuwashauri wasanii hao wakubwa wa Naija bila kuwataja majina, kumaliza beef yao na kuwapa mashabiki chakula kitamu (muziki).

Iyanya n

“Acheni kuongea!!! Tutoeni nyimbo zaidi!!! Tuwaburudishe mashabiki wetu!!! Acheni chuki!!! “Maombi yangu ni kuwa sote tufanikiwe”.

“Stop talking!!! Let’s release more MUSIC!!! Let’s entertain Our Fans!!! Stop The Hate!!! My Prayer is that we ALL make it” Aliandika Iyanya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents