Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Diamond Platnumz

It’s official: Vj Penny ni mama mtarajiwa wa mtoto wa Diamond

By  | 

Baada ya kuwepo kwa speculations kwa muda mrefu kuhusiana na mpenzi wake na Diamond Platnumz, Penny Mungilwa kuwa mjamzito, hatimaye leo Diamond amethibitisha ni kweli wanategemea mtoto wao wa kwanza.

804dd9627b9611e292b622000a1fb73b_7
Bongo5 ilikuwa ya kwanza kuhoji wasiwasi huo kwa habari isemayo “Pics of the day: Penny and Diamond, is she really pregnant?” ya February 25, 2013.

Kupitia U Heard ya XXL (Clouds FM) Diamond amefunguka kuwa tayari amempa gari ya kutembelea mrembo huyo huku pia akimuagizia gari mpya aina ya Hyundai ix35.

“That’s true, ni kweli unajua sitaki kusema ni mpenzi wangu, sasa hivi ni mama watoto wangu kwasababu ya mizunguko ya kwenda clinic na nini nikaona sio vizuri kwenda kwenye madaladala kugombania… nikaona ni vizuri nikimnunulia gari yake kuendea clinic na vitu vingine. Nimemuaigizia ile new model ya Hyundai ix35.”

Hyundai ix35

Hyundai ix35

Bei ya Hyundai ix35 inaweza kufikia shilingi milioni 50 na zaidi.

Kufuatia taarifa hiyo, mastaa kibao wamejitokeza kuwapongeza wapenzi hao akiwemo Diva wa Clouds FM aliyeandika kupitia Instagram, “Hongera to My @Vjpenny04 …@diamondplatnumz . Am gonna be an Aunt soon. I need that Baby girl. Good hearted like mommy.

Teddykaegele: My Penny is too damn beautiful; I’m wishing her for a baby girl… so she can be as adorable like her mum.

Lorriefashion_vintage: no way!!seriously?? preg?Penny? may God secure her from all evils..

Congrats Diamond and Penny.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW