Burudani
It’s Official: Video mpya ya Diamond ft. Mr Flavour ‘Nana’ kutambulishwa Exclusive kupitia MTV Base leo (May 29)
Tayari fumbo limefumbuliwa, video ya wimbo mpya wa Diamond Platnumz aliyomshirikisha star wa Nigeria, Mr Flavour kutambulishwa leo Ijumaa (May 29) Exclusive kupitia kipindi cha Spanking New cha MTV Base, saa kumi na mbili za jioni saa za Afrika Mashariki.
BREAKING!! Yes, you guessed right…another #FirstOnBase! #Nana by @diamondplatnumz ft @2niteFlavour happens tomorrow pic.twitter.com/a3NBNlryaG
— MTV Base Africa (@MTVbaseAfrica) May 28, 2015
Wimbo huo uitwao ‘Nana’ umetayarishwa na producer Nahreel wa The Industry, na video imeongozwa na Godfather.
Kupitia Facebook Diamond ameandika: