Bongo5
Total of
2057
Shoutouts and counting..
evarist
25 April 2010 02:27 |
Fuatilia exclusive interview na AY Mzee wa Commercial hapa http://chahali.blogspot.com/2010/04/exclusive-inte
rview-na-mzee-wa.html
evarist
24 April 2010 14:03 |
Exclusive: Mwana FA awajibu wanaohoji shule yake.Soma hapa http://chahali.blogspot.com/2010/04/exclusive-mwan
a-fa-awajibu-wanaohoji.html
nani
18 April 2010 16:26 |
wekundu wa msimbazi oyeeeee
nani nani
18 April 2010 16:15 |
Simba 4 Yanga 3!!!!
nani nani
18 April 2010 16:13 |
Simba na Yanga 3-3
EVARIST CHAHALI
12 April 2010 16:58 | United Kingdom
Fuatilia mahojiano maalum (exclusive interview) na msanii mahiri wa Bongoflava,Hamis Mwinjuma,almaaruf MwanaFA.Yayumkinika kum-describe MwanaFA kama mmoja wa wasanii wenye elimu ya hali ya juu baada ya kuhitimu masomo yake hapa Uingereza.Pia,inatarajiwa kwamba kwa kuwa kwake nje ya nchi kwa muda mrefu kimasomo atakuwa katika nafasi nzuri ya kutupa mwanga kuhusu nafasi ya bongoflava ndani na nje ya Tanzania.Kwa mahojiano kamili fuatilia hapa http://chahali.blogspot.com/2010/04/mahojiano-maal
um-na-mwanafa.html
salma abdallah
07 April 2010 23:25 | netherland
wee othman we vp www kama ww huijui simba kimapango wako so usiniingilie kbs,kila mmoja yuko huru kushout jambo apendalo,so we tulia 2
othman
21 March 2010 15:54 | maulaya





Simba Simba ndio nini nani anayijuwa Simba lete habari za Maulaya sio Africa?
miss delicious
20 March 2010 15:04 | leeuwarden





Simba bana inanipa raha saana
macamas
19 March 2010 20:13 | Dar ES SALAAM





liverpool 4 man u 0
nasir
19 March 2010 16:18 |





Arsenal v West Ham United
Barclays Premier League
Saturday, March 20 17:30
Barclays Premier League
Saturday, March 20 17:30
GAUCHO
15 March 2010 11:30 | isenye





kazi kwelikweli,wazungu weusi!
othman
09 March 2010 15:13 | Athens maulaya





Gaucho nimekumiza nini kaka?nasikitishwa sana na muafrica wewe kunita mie ni mtu mmbaya sana !!nakama hupendi usingie katika chati
GAUCHO
08 March 2010 13:08 | kama nanuka nipake mafuta,kama huwezi niache ulivy





kwani kwenu wapi?kazi kwelikweli,watu wa aina hii wabaya sana hawakawii kuwakana hata mama zao wazazi kisa wapo hadhi fulani ya juu,usidharau kwenu 

GAUCHO
08 March 2010 13:06 | kama nanuka nipake mafuta,hauwezi niache kama uliv





kwani wewe kwenu wapi?kazi kwelikweli yani leo kisa upo mbali basi kwenu umepasahau,usisahau ulipotoka,watu wa aina hii wabaya sana wanaweza hata kumkana mama yao mzazi,kwenu ni kwenu tu hata paweje! 

othman
06 March 2010 10:28 | Athens maulaya





hatutaki propaganda katika chati ?kama ku na mtu anauchungu na nchi yake rejea kwenu Africa!!
ramsy
05 March 2010 13:50 | pretoria south africa





hizi habari zinaboa 2 weeks TID kamvesha pete mchumba kwaiyo hakuna habari mpya
shaibu hamisi
04 March 2010 15:03 | songea





inaboaaaaaaaaaa! issue za kuweka habari mawiki kibao ndo nini? mpaka 2nachukia sasa kuingia bongo5 mana 2nasoma mi-habari 2liyosoma 9 weeks zilizopita.kwa hii mna2fanya 2ikimbie bongo5.jirekebisheni bwanaaaaa!!!!!!!!!.


docter
03 March 2010 00:43 | afuganistan





hi wamiliki wa b5 wekeni habari update msituwekee vimeo kuonekana mwaka mzima ,natumai kazi haijakushindeni,,,ok salam zao nyote ,,,and sey happy bathday to my pupy
othman
28 February 2010 16:43 | nipo home townndani ya maulaya Athens





wafrica na m lie tu kwa jua na joto hhahhhh?sie wajanja tunapigwa na baridi
savio
28 February 2010 02:45 | kigambonino





yaan kesho lazima tubebe kombe mpende msipende....HAHAHA..najua kuna watu macho yashawatoka....COME ON MAN UTD
kapenya
27 February 2010 19:55 | dar es salaam





Wema wako sio 2nda litakalo Oza.!
wala sio wino utakaofutika.!
wala sio wino utakaofutika.!
docter
26 February 2010 22:23 | ireland





happy bathday mabii muhammad S A W,
my rachel
23 February 2010 14:27 |





khaaaaaaa yaHani lol..makubwa...
debra
19 February 2010 08:46 | Ngusero Mbauda kwa Mromboooo





Mara ingine tena,
Kila heri im so so happy to be here!
Amani na upendo kwa wote mlio wa ukweli
My Boss
My nanihii
Wadogo zangu woooote
Haters zangu pia...One luv
Moko luv kwa wote mlio wa ukweli,NAWAPENDA SANA!
Edo Ndaki....one luv braaa
Kila heri im so so happy to be here!
Amani na upendo kwa wote mlio wa ukweli
My Boss
My nanihii
Wadogo zangu woooote
Haters zangu pia...One luv
Moko luv kwa wote mlio wa ukweli,NAWAPENDA SANA!
Edo Ndaki....one luv braaa
chescomatunda
16 February 2010 11:31 | dar





Khaa ivi lini hali hii itakwisha maana maisha magumu kila siku zinavyokwenda kwani maisha bora ni kwa wana mitandao tuu wengine hawana haki ya maisha bora? maji shida ,elimu mbinde , makazi bora hakuna jamani natuma salaam tuu hizi kwa wahusika popote pale walipo ziwafikie.
kapenya
15 February 2010 20:58 | dar es salaam





SAMAHANI KAMA UKO MJINI HILI GARI NDIO LILOBEBA VIFAA VYA UMEME LIMEPOTEA NJIA, HALIKUJUI FUMBA. KAMA UTAKUA UMELIONA NJIANI TOA TAARIFA KITUO CHOCHOTE ILI IKAMATWE LIPELEKWE FUMBA WANANCHI WA ZNZ WAPATE UMEME HALI NGUMU MPK SS..2NATEGEMEA MSAADA KUTOKA KWAKO ASANTE.
lidya
10 February 2010 21:48 |





free sms vipi ndo hakunaga tena ondoeni basi matangazo yake achen ushoga
benmugashe
05 February 2010 17:08 | Dar TZZZZZZZZ





Happy Birthday My dear CCM...
PKJ Unabishaaa?
PKJ Unabishaaa?
m4real
05 February 2010 11:26 | Kali





To all ma friends we put down 2gether in BTHS 05\'-\'06.Damn..! been a longtym.
miss delicious
01 February 2010 14:52 |





wotz up ma pipo!
PKJ
01 February 2010 11:43 | My Back





Everyone has a right to be stupid..


kumida55
01 February 2010 08:58 | Dubai





T.I.D Mzee wa zeze LIVE IN DUBAI Feb,4,5 RUSH INN HOTEL CLUB CASURINA BUR-DUBAI....PAMOJA TUNAWAKILISHA...I.Q
Yassern
31 January 2010 21:19 |





nategemea wikiendi imemalizika vizuri kwa familia nzima ya bongo5!!baada ya kutoka mkwakwani Neshino stediumu kuangalia mpira wa man\"killer\" Vs Ah SAY No... nimepitia kutoa salam zangu kwa ndugu yangu SHirima, zimfikie huko huko kwenye hodi ya mwaisela muhimbili na wengine siwataji naogopa mkong\'oto! ujumbe: kwann uumize roho,hama mtaa kama unaona haukufai,huku karibu na old traford kuna viwanja bei poa.
mapo
30 January 2010 14:44 |





wazeeeeeeeeeeiiiiiiiiiiiya nioajee...........! mko kimya sanaaaaaaaaa......!
Teachmaker
19 January 2010 15:59 | KAHAMA





MAMBO VP NDANI YA BONGO5.MWANAMPOTEVU HAPA.WALE WENYEJI WANANISOMA. 

nagham
12 January 2010 20:16 |





oya mabo zenu vipi ? nawapa hi wadau wote wa bongo5
PKJ
06 January 2010 12:36 |





Smart Talented Unique Person In Demand
S.T.U.P.I.D
S.T.U.P.I.D
mapo
05 January 2010 14:35 |





hollaaaaaaaaaaaaaaaa....! fellazzzzzzzzzz 

PKJ
05 January 2010 10:34 | My Back





All friendly and likable people seems dead; Only the haters and fools are alive! Haters keep on hating, Fools u know how to do with it!
HAPPY TWENTY TEN HATERS and FOOLS
HAPPY TWENTY TEN HATERS and FOOLS
rachelptr
04 January 2010 00:43 | Italy





Heri ya mwaka mpya wana bongo5 wote,mungu ametujalia kuuona mwaka mwingine tena, tujitahidi kufanya mazuri na yale tulioshindwa mwaka jana mwenyezi mungu atusaidie kuyafanya kwa mwaka huu happy new year all.
Yassern
02 January 2010 18:10 | mpanda





nawatakia mwaka 2010 kuwa ni mwema na wenye baraka zote wanafamilia nzima ya bongo Gwala...tusahau na tusameheane kwa tuliokoseana..tuondokane na HATE,MISCHIEVES & JEALOUS..tuweke VISIONS ZETU KWENYE REALITIES..! salama hizi pia ziwafikie ustadhi kaka Gaucho(alieko huko igalula),markz27(hukohuko mwakidila,ingawa sio mbongo siku hizi),maalim moody (mzee wa ndizi + pilipili kwenye maulid za watu,bila kusahau mfuko wake wa rambo uliojaa mafuta kwa kubebea mpunga0),wapwa zangu PkJ,shirima,213RiZ,Debbie,Lawa skwea,mzee wa \"HAMA\" maalim Othman..na wengine wengi majina kapuni.ujumbe tuufanye mwaka 2010 kuwa ni wa kufanyikisha kila lililo jema kwetu,pia kusahau mabaya yote na kusameheana kwa tulikoseana...kuweka furaha kwenye mioyo yetu kujenga umoja ndani na nje ya mioyo yetu ,kupendana na kuheshimiana. kila la kheri katika mwaka huu kwa wote...Luv,respect,unity..pmoja!!
Jenna
31 December 2009 19:46 | Germany





Frohes Neues Jahr! Happy New Year for all my friends in Bongo5!
Lonely Shirima
31 December 2009 14:07 |





WANA BONGOGWAFALA POPOTE PALE MLIPO NAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2010, TUZIDI KUWA JUU
PA1 TUTAFIKA BONGOGWAFALA KARIBU 2010 NAWAKARIBISHA WOTE ...........
2010
PA1 TUTAFIKA BONGOGWAFALA KARIBU 2010 NAWAKARIBISHA WOTE ...........
2010
my rachel
31 December 2009 11:13 |





happy birthady osssss sorry happy X- Mass uwwwwwwww jamani ulimi huu hapy Easter opssssssss......i wish you all my peoplssssssssss Happy New Year kuweni makini shetani anatafuta mtu wa kunfuga nae .......
mrabulo
31 December 2009 06:14 |





happy ya mwaka mpya ,Mbona natuna Sms washirika?
nagham
30 December 2009 19:27 |





i wish all the best people of bongo5 a happy new-year 

GAUCHO
30 December 2009 18:58 | rasi ya tumaini jema





happy new year na heri ya mwaka mpya wote nawatakieni,bye 2009 karibu 2010,pamoja,nawapenda sana watu wangu,sijawatupa
lulwa
30 December 2009 16:17 |





May The Year 2010 Bring for You Happiness,Success and filled with Peace,Hope & Togetherness of your Family & Friends....Wishing You a...*HAPPY NEW YEAR*
mapo
29 December 2009 17:39 |





Jaaaaaaaaaammmani, eeeeeeeeeeeee! heri ya mwaka mpyaaaaaaaaaa........!