Watanzania tumeweza kumpata Miss Universe Tanzania Bi Amanda Sululu ambaye amemrithi Mwanadada Flaviana Matata aliyewahi kubahatika kufikia mpaka hatua ya kumi bora katika mashindano kama hayo...
Read more...
Rais wa Zambia Mheshimiwa levy Mwanawasa ambaye alikuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, amedaiwa kufariki dunia jana asubuhi akiwa hospitalini jijini hapa
Read more...
Judith Wambura a.k.a Binti Machozi a.k.a Lady JayDee kama unahofia kuchapia waweza kumuita Jide, bado anaendelea na ziara yake nchini uingereza ambapo anatarajia kupiga show nyingine mbili kabla hajarejea...
Read more...
Waziri Mkuu wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda ametakiwa kuliomba radhi Bunge la Jamhuri ya Muungano na Watanzania kwa ujumla,
Read more...
Saba saba 2008 ulinzi mkali Jeshi la Polisi na mgambo wameanza kutumika kwa pamoja katika kusaidia ulinzi ndani ya viwanja vya maonyesho vya Mwalimu Nyerere Jijini, ikiwa ni hatua mojawapo ya Halmashauri ya Biashara ya Nje, BET katika kuimarisha usalama wa watu na mali.
Msako wa Machangu wapamba moto Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni linawashikiliwa wasichana 12 kwa tuhuma za kukutwa wakijihusisha na biashara ya kuuza miili yao ( changudoa).
KAMPUNI iliyokuwa ikimchunguza Waziri wa zamani wa Miundombinu, Adrew Chenge, imezidi kuja juu baada ya kuzibana kampuni nyingine ambazo zimekuwa...
Madawa na bidhaa za viwandani ni hatari Wananchi wametakiwa kutotumia vibaya madawa na bidhaa zitokazo Viwandani pamoja na Viwatilifu, kwani vinaweza kusababisha madhara makubwa kwa Binadamu na Mazingira.
Azikwa juu ya kaburi lingine mkono nje Mwili wa mtu asiyefahamika umezikwa juu ya kaburi la mtoto wa Mchungaji huku mkono wake mmoja ukiwa umebaki nje, tukio hilo la aina yake limevuta hisia za wakazi wa kitongoji cha Mbalizi nje kidogo ya jiji la Mbeya.