Burudani

IK na Minnie Dlamini kuhost tuzo za AMVCAs

Africa Magic na MultiChoice wamewatangaza washereheshaji wawili wa tuzo za mwaka huu za Africa Magic Viewers’ Choice [Awards] (AMVCAs).

Minnie_Dlamini_009

Washereheshaji hao ni mrembo wa Afrika Kusini, Minnie Dlamini pamoja na host maarufu wa BBA, IK Osakioduwa wa Nigeria.

Tuzo hizo za nne kufanyika zitatolewa March 5. Vipengele 26 vinashindaniwa. Lulu ni miongoni mwa waigizaji waliotajwa kuwania tuzo hizo zitakazotolewa jijini Lagos, Nigeria.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents