Burudani

Iggy Azalea aonesha dalili za kutotaka kufanya collabo na Snoop Dogg, aachia single mpya ‘Beg For It’ (Audio)

Inavyoonekana rapper wa ‘Fancy’ Iggy Azalea licha ya kumsamehe Snoop Dogg, lakini bado kuna kitu ameshikilia moyoni mwake.

iggy

Rapper huyo wa Australia alipotua uwanja wa ndege wa Los Angeles Alhamisi usiku aliulizwa na paparazzi wa TMZ kama anaweza kuja kufanya collabo na Snoop baada ya beef yao ya hivi karibuni, na jibu la Iggy lilikuwa swali“would you if you were in my shoes?”.

Wakati huo huo Iggy ameachia single mpya iitwayo ‘Beg For It’ akiwa amemshirikisha MØ.

http://youtu.be/ikAJnURZ7-o

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents