Burudani

Idris Sultan asimulia nafasi aliyocheza kwenye filamu ya Kiumeni

Idris Sultan amefunguka kwa kuwaonjesha mashabiki wake uhusika aliouvaa kwenye filamu ya ‘Kiumeni’.

Kupitia mtandao wa Instagram, Idris amesimulia kwa kuandika, “Humu ndani nauza madawa kwahiyo nina mpunga wa kumwaga halafu nipo kitaa, demu wangu wa zamani anakuja na mwanaume kumtambulisha kwao na kwa hapa na pale mshkaji anakuja kwangu kapotea, anamlaaaa hamliiiii ??? ????.”

Filamu hiyo imeongozwa na Ernest Napoleon ambaye ni Rais wa D Street Media Group na itaanza kuoneshwa March 17 kwenye majumba ya sinema jijini Dar es Salaam.

Mbali na Idris Sultan filamu hiyo pia imewakutanisha mastaa wa bongo kama Irene Paul, Muhogo Mchungu, Antu Mandoza, Rashid Matumla na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents