Burudani

Idris: Laveda ameniabisha, ni baada ya kujichua (mastur*ate) mbele ya wenzie (Video)

Kwa mujibu wa Idris, Laveda ameiabisha Tanzania si kwa kutolewa mapema usiku wa jana lakini ni kwa kufanya kitu cha aibu mbele ya washiriki wenzake.

Samantha alimsimulia Idris kilichotokea akisema kuwa alisikia sauti za ajabu zikitoka kwenye jacuzzi ambalo Laveda alikuwa akioga na kwamba alikuwa akijipa raha mwenyewe aka akijichua.

“I feel so embarrassed,” alisema Idris. “She is not even pissed me off to what she has done, that is not her, I am so embarrassed. I wonder how she is going to feel in the morning, God damn it.”

Kutokana na tukio hilo jina la Laveda lina trend kwenye mtandao wa Twitter huku watu wengi wakiwa na hamu ya kuona video hiyo. “BigBroAfrica Please don’t upload Laveda’s rated 18 video on VIP!!! This is going to haunt her forever.. Pple gonna abuse her forever,” ameandika shabiki mmoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents