Burudani

Ice Prince ajitoa rasmi Chocolate City

Rapa kutoka nchini Nigeria, Ice Prince ametangaza rasmi kujitoa kwenye lebo ya Chocolate City.

ice prince

Akiongea na Cool FM ya Nigeria, Ice Prince alisema mkataba wake na lebo ya Chocolate City uliisha tangu miaka miwili iliyopita lakini ukaribu wake uliokuwepo kati yake na bosi wa lebo hiyo, M.I ndiyo kilimfanya asiweke wazi mapema.

Hit maker huyo wa ‘Chike’ anatarajia kuachia albamu yake na kufungua lebo yake binafsi na amepanga kuwatambulisha wasanii wake kabla ya mwaka huu kuisha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents