Habari

Huu ni uteuzi mwingine uliofanywa na rais Magufuli leo

Rais Magufuli leo, April 25 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa mikoa 26 ya Tanzania bara.

dr

Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13 wamebakisha katika vituo vyao vya sasa.

Hawa ni Makatibu Tawala wapya walioteuliwa na rais Magufuli:

Arusha – Richard Kwitega

Geita – Selestine Muhochi Gesimba

Kagera – Armatus C. Msole

Kilimanjaro – Eng. Aisha Amour

Pwani – Zuberi Mhina Samataba

Shinyanga – Albert Gabriel Msovela

Singida – Dr. Angelina Mageni Lutambi

Simiyu – Jumanne Abdallah Sagini

Tabora – Dkt. Thea Medard Ntara

Tanga – Eng. Zena Said

Hawa ni makatibu tawala waliobadilishiwa vituo vya kazi:

Kigoma – Charles Amos Pallangyo (Kutoka Mkoa wa Geita)

Morogoro – Dkt. John S. Ndunguru (Kutoka Mkoa wa Kigoma)

Hawa ni makatibu tawala waliobakia kwenye vituo vyao vya mwanzo:

Dar es salaam -Theresia Louis Mbando

Dodoma – Rehema Hussein Madenge

Iringa – Wamoja Ayubu Dickolagwa

Katavi – CP Paul Chagonja

Lindi – Ramadhan Habibu Kaswa

Mara – Benedict Richard Ole Kuyan

Manyara – Eliakimu Chacha Maswi

Mbeya- Mariam Amri Mjunguja

Mtwara – Alfred Cosmas Luanda

Mwanza – CP. Clodwing Mathew Mtweve

Njombe – Jackson Lesika Saitabau

Rukwa – Symthies Emmanuel Pangisa

Ruvuma – Hassan Mpali Bendeyeko

Aidha Makatibu Tawala wapya walioteuliwa wataapishwa ikulu siku ya Jumatano, April 27.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents