Diamond Platnumz

Huu ni ushauri wa Chidi Benz kuhusiana na suala la Diamond na Davido

Rapper Chidi Benz amejitosa kuzungumzia mkwaruzano uliotokea kati ya Diamond Platnumz na msanii wa Nigeria Davido. Hiki ndicho alichoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

10849755_809323635773251_9078575791092525528_n (1)

Mimi binafsi ningeweza kumwambia mdogo wangu Dimooond aseme haya mambo yapite na Davido sorry my brotha,watu wote tuacheni marumbano na isiwe mapema hivi tunashindana..wote Africa Lugha zimechanganyana plus wajuaji wengi kazi yao chumvi tu hawajui haswa matatizo yanatuharibu vipi binafsi..msishadadie tu ilimradi.eiza kuna projekt!

Ye akijaa kichwa afatishe watu na watu hao hao ndo husema mavi yaale siku akijinyea atakua anakosea,ikibidi anamwambia timba tandale tuuchune vijiti nini plus gambe na wana au yeye anatimba kule mapicha nini hlf zile Africa tuko pamoja za kumwaga, yaishe asiyakuuuze.bado anahitaji kwenda na ashinde tena.

Kabisa fundi..watu wanatengeneza story wanahisi wataonekana Nigeria na dogo atskua anaenda na kina tale tu na sijui nani,watu wanaweza panga story ya mapanga,then wot?kwani yeye Diamond hawezi kusema naomba yaishe jamani na hakuna baya hivyo.ajitengenezee basi kama anavyotengeneza siku zoote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents