Burudani

Huu ndio wimbo ambao Eminem amemdiss Trump

Donald Trump anaweza akawa ndio Rais wa Marekani ambaye amekuwa akipokea matusi kila kukicha kutoka pande mbalimbali ikiwemo mpaka kwa mastaa wakubwa wa nchi hiyo. Rapper mtukutu Eminem amediss sera za Rais huyo wa 45 wa nchi hiyo.

Eminem ameshindwa kuzuia hisia zake kwa kumchana Trump kwenye wimbo wa ‘No Favors’ alioshirikishwa na Big Sean.

“Trump’s a bitch / I’ll make his whole plan go under. And tell Dre, I’m meeting him in L.A. / White Bronco, like Elway speeding / I’m about to run over a chick … Female stay beatin’ em, bet you they’ll stay bleeding / And yell wait, pleading but screaming is pointless, like feeding Michel’le helium,” amerap Eminem kwenye wimbo huo.

Sikiliza hapa chini wimbo huo.

https://youtu.be/tDJXw-8y5Yw

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents