Diamond Platnumz

Hutaamini alichopost Youtube msichana huyu wa Kenya kumtongoza Diamond ‘I am ready to start a project with you’

Licha ya kuwa ni msichana mrembo, tajiri na apparently akitarajia kumpa mtoto Diamond, Zari Tlale aka The Bosslady anakabiliana na ushindani mkubwa kutoka wasichana wengi Afrika Mashariki wenye ndoto za kuwa wapenzi wa hitmaker huyo wa ‘Number One’.

https://www.youtube.com/watch?v=MQ7Cl1bmQZU

Msichana wa Kenya aitwaye Tiara ameanzisha kampeni Youtube kutaka kufikisha ujumbe wake kwa Diamond.

Jana, Tiara ameupload video ya picha za utata akiwa kwenye Jacuzzi na kuziandikia ujumbe maalum kwa staa huyo.

“And this is my story, and forget about Wema and Zari focus on this,” ameandika Tiara.

“I want you, join me to play with me to tap this a*s, to scratch my back and I am ready to start a project with you, let the bitches talk, I don’t mind.”

“Wish I was doing this with you, hold this smiling like a queen; and here seated as a bawse striking a pawss. I sleep waiting to hear from you to tap this ass.”

Picha hizo zinaoneshwa kupigwa January 24, 2015.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents