Habari

Hussein Machozi afanya collabo na kundi la Sauti Sol la Kenya

Hit maker wa ‘Addicted’ Hussein Rashid maarufu kama Hussein Machozi ambaye amekuwa nchini Kenya siku za hivi karibuni amefanya collabo na mastaa wa kundi la Sauti Sol.

hussein na baraza

Hivi Karibuni Hussein aliweka picha akiwa na moja wa members wa kundi hilo aitwaye Baraza wakiwa studio, na baadaye Sauti Sol wamethibitisha juu ya collabo hiyo kupitia twitter.

Sauti Sol

Saut Sol ni kundi lenye mafanikio makubwa kimataifa ambalo mwaka jana lilishinda Channel O VMA kupitia collabo yao na AY ‘I don’t wanna be alone’, na mwaka huu pia wamefanikiwa kuingia katika tuzo hizo na wimbo wao ‘Money Lover’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents