Burudani

Hukumu ya Meek Mill yatoka, ahukumiwa…

Meek Mill hatoenda jela japo haimaanishi kuwa atakuwa mtu huru.

Meek-Mill

Ijumaa hii jaji aliamuru kifungo cha ndani cha miezi mitatu kwa rapper huyo. Kutokana na adhabu hiyo, kwa siku 90 hatoweza kurap, kutumbuiza au kutoa nyimbo.

Jaji Genece Brinkley pia aliongeza miaka sita ya probation kwa Meek. Rapper huyo amekuwa kwenye probation kwa kosa alilolifanya mwaka 2009 la kumiliki madawa na silaha.

Alikiuka parole yake kwa kusafiri bila ridhaa na kufeli vipimo vya mikojo. Anatarajiwa kujisamilisha mwenyewe March 1 na jaji atatathmini siku zake 90 baadaye.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents