Diamond PlatnumzWema Sepetu

Huddah Monroe amwambia Diamond ‘Wema Sepetu ndio kipenzi chako, wengine wapita njia tu’

Huddah Monroe hataki kumsikia Penny kama wifi yake kwa Diamond Platnumz, anamtaka Wema Sepetu tu.

huddah-1

Mwakilishi huyo wa Kenya kwenye BBA mwaka huu, amefunguka kupitia Instagram kuwa anampenda Wema Sepetu na anamuona ndiye mwanamke wa kweli kwa Diamond Platnumz.

Akiweka picha yake Wema, Huddah ameandika: I love her pants…..Too fresh @diamondplatnumz ,huyu Dame wako ,kipenzi chako.For life ,let nobody tell u otherwise.Hao wengine wapita njia tuu .God bless the two of u.RIP to her dad,I know how it feels to lose someone so dear to u.Take heart Ms Boss.I heart you.”

Kauli hiyo ya Hudda imekaribisha mjadala mkubwa hasa kwa mashabiki wake wa Tanzania.

”Ktk ck ulio tufuraisha nileo umeongea point wengine vileja tuu wemandio wife wa @diamondplatnumz wema she is cute too soft hana maisha ya kuigiza me love @wemasepetu for death i wish dai amuowe wema wanapendezana kwakweli couple zime endana asante hudda km na ww umeliona hilo me love u @huddahmonroe,” ameandika mmoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents