Burudani

Huddah Monroe: ‘Alikiba is the real definition of Bongo Flava’, akunwa na Mwana

Aliyewahi kuwa mwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa, Huddah Monroe anaamini Alikiba ndiye msanii anayebeba maana halisi ya muziki wa Bongo Flava.

huddah-1

Huddah anadai alikuwa hajui ni wapi alipokuwa amepotelea staa huyo lakini baada kusikia wimbo wake mpya ‘Mwana’, amethibitisha kuwa Alikiba ni msanii bora kwake.

“Whaaaaatttttt! I was wondering where Alikiba had gone to! Sauti ya kumtoa nyoka pangoni! Still my favorite Tanzanian artist, the real definition of Bongo Flava! Duh!” ameandika Huddah kupitia Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents