Huddah: I love sucking things! (Video)


Pin It

Well, wengi tumeshajua who Huddah Manroe is (angalau wale mnaofuatilia mitandao ya kijamii) she is a star, na of-course kila linapotokea tukio la kumhusu mara nyingi huwa linazua gumzo kama hili la leo.

huddah-2

Huddah kupitia akaunti yake ya twitter amepost video yenye heading ‘Huddah loves sucking things’, na katika video hiyo mtoto huyo mzuri na aliyekuwa mshiriki wa Kenya katika The Chase anaonekana anailamba lollipop (kimtego sana) na kurudia mara nyingi kuwa anapenda kunyonya vitu.

Akiwa mbele ya kamera Huddah kaanza kwa kucheka kisha akajitambulisha na kusema anapenda kunyonya vitu kama hiyo lollipop aliyoishika….

Mtazame mwenyewe

Pin It

Add a comment

comments