Burudani
Hongera Mr. Blue kwa kufunga ndoa!
Tunampongeza supastaa wa Bongo Flava Mr Blue kwa kufunga ndoa na baby mama wake Waheeda, ambaye amezaa naye watoto wawili. Blue amefunga ndoa leo April 14 2016 kimya kimya na inasemekana kwamba waliohudhuria ni ndugu na marafiki wachache wa karibu.
Tunawatakia ndoa yenye furaha na amani!