Burudani
Hongera Mh. Temba
Baada ya miezi michache kuvuta jiko, ndoa ya Mh. Temba imejibu na jana mke wake amejifungua mtoto wa kike.
Mtoto huyu ameshampatia jina na anaitwa Michelle!
Hongera sana Baba na Mama Michelle.