Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Hizi ni picha 10 za Fahyma, mrembo anayedaiwa kuwa mpenzi wa Rayvanny

By  | 

Kuna uwezekano mkubwa umeshawahi kusikia tetesi mitaani kuwa mpenzi wa Rayvanny anaitwa Fahyma ambapo kwenye mtandao wa Instagram anatumia jina la @fahyma_. Mrembo huyo pia ameonekana kwenye video ya wimbo wa ‘Kwetu’ ambapo ameonekana kwenye kipande kimoja ambacho alikuwa anaporwa vitu vyake na kibaka na kidogo kwenye wimbo wa ‘Natafuta Kiki’ zote za Rayvanny.


Picha ya Fahyma akiwa mkono wa kushoto, katikati ni Rayvanny na kulia ni Irene

Lakini pia Fahyma ni rafiki mkuwa wa Irene ambaye ndiye alikuwa Queen wa video ya wimbo wa ‘Kwetu’. Katika kuendelea kukuonyesha picha za baadhi ya watu ambao unatakiwa kuwafahamu zaidi tumekuletea picha 10 za mrembo huyo hapa chini ambazo zinamfanya kila kidume kumuweka katika himaya yake.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW