Michezo
Hizi ndo timu nane zilizoingia kwenye hatua ya robo fainali Euro 2016
Michuano ya Euro 2016 hatua ya 16 bora ya imemalizika tayari na hizi ndo timu ambazo zimesha ingia robo fainali baaada ya June 27 2016 kuchezwa michezo miwili ya mwisho.
Mechi za robo fainali zitaanza kuchezwa June 30 2016
Poland vs Portugal
Wales vs Belgium
Germany vs Italy
France vs Iceland