Burudani

Hizi ndio sifa za mwanamke ambaye AY atataka kumuoa

Rapper Ambwene Yessaya aka AY amezitaja sifa za mwanamke ambaye atakuja kumuoa pindi muda ukifika.

11809695_1503147140002341_1621515806_n

“Wanawake wazuri wapo wengi,” alisema” Nimekutana na wengi bali kuchagua mke sahihi ni kitu kinachohitaji busara na endapo nikisema niangalie uzuri wa mwanamke nitapoteza malengo yangu. Nahitaji mwanamke ambaye yupo smart kichwani,” AY aliliambia gazeti la mwananchi.

Pia AY alisema kwa sasa hana mchumba na hana mtoto hata wa kusingiziwa!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents