Burudani

Hit Bangers: AY, Rich Mavoko, Mwana FA, Vanessa Mdee, Tunda man na Baranaba katika jukwaa moja weekend hii

Weekend hii mastaa wa 255 waliotengeneza hits mbalimbali wanatarajia kukutana katika jukwaa moja pale Club Billicanas katika show ya Hit Bangers, ambao ni pamoja na maswahiba na hit makers wa ‘Bila Kukunja Goti’ AY na Mwana FA pamoja na Rich Mavoko.

IMG-20140326-WA0000(1)

Wasanii wengine watakaotumbuiza Jumapili hii (March 30) ni hit maker wa ‘Come Over’ Vanessa Mdee, hit maker wa ‘Msambinungwa’ Tunda Man, Barnaba na Abdu Kiba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents