Picha

Hiphop meets Taarab: Ezden The Rocka afunga ndoa na Dida Shaibu wa ‘Mitikisiko ya Pwani (picha)

Aliyekuwa mtangazaji maarufu wa kipindi cha Hip Hop cha Kiss Collabo Mix Show’ cha Kiss FM ambaye kwa sasa amehamia Times FM, Ezden Jumanne, jana amefunga ndoa na mtangazaji mwenzie Didas Shaibu maarufu sana kwenye kipindi cha Taarab, Mitikisiko ya Pwani.

994220_546974738695303_1707155247_n

33

1011290_10200281292494974_119616017_n

1017150_529698330431420_1245918991_n

photo

Harusi hiyo imefanyika kimya kimya na kuhudhuriwa na watu wachache tu wakiwemo ndugu na jamaa. Tunawatakia maisha mema ya ndoa.

Picha: Jestina George

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents