Habari

Hili ni gari jingine la thamani analomiliki Davido?

Baada ya kumiliki magari mengi ya thamani Davido huenda akawa amenunua gari jingine la thamani aina ya Ferrari.

a.espncdn

Davido ni mmoja kati ya wasanii wa Nigeria ambao wanapenda kuendesha magari ya thamani kubwa. Ni siku moja tu imepita baada ya kuenea picha akiwa kwenye gari hiyo ya Ferrari yenye rangi ya Silver na kusemekana kuwa ndio gari yake mpya aliyoinunua hivi karibuni.

Baadhi ya vitu vya thamani anavyomiliki msanii huyo ni pamoja na magari aina ya Hyundai Sonata 2012, Range Rover Sport, Audi Q7, Chevrolet Camaro, Mercedes Benz 2014 S63 AMG na pikipiki aina ya Porsche Turbo S 2012.

12751607_969824783107224_975706055_n

Kupitia Instagram, staa huyo aliyesaini record deal na Sony Music, Davido amepost picha hiyo juu na kuandika: My price went up.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents