Burudani

Hili ndiyo jibu la Nay wa Mitego kwa wabaya wake

Nay Wamitego amewajibu watu wanaomchukulia poa.

13166850_1723454604559448_475247523_n

Akiongea kwenye kipindi cha E News, kinachoruka kupitia EATV, Nay wa Mitego amewapiga dongo wanaomchukia kwa kuwaambia hafanyi muziki kwa ajili ya tuzo.

“Mimi siku zote sifanyi muziki ili nipate tuzo au nishinde tuzo hata mashabiki zangu naomba mtambue kuwa mimi sifanyi muziki kwa ajili ya tuzo,” alisema.

Saka Hela ni moja kati ya nyimbo za rapper huyo zinazofanya vizuri kwenye TV na Radio kwa sasa japo iliachiwa kwa kushtukiza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents